Ni
takribani mwaka mmoja toka kijana huyu aanze kuonekana akionesha
sarakasi ndani ya Kivuko kwa nia ya kujipatia kipato. Mara nyingi
huonekana sehemu ya juu ya kivuko cha Magogoni akiwafurahisha wasafiri
huku akichombeza kwa mafumbo ambayo huashiria anahitaji kupewa hela ya
kula.
Wakati akiendelea na onesho, watu humrushia fedha. Watu wengi hasa wageni wa Kigamboni huonekana kufurahishwa sana na onesho hili lisilo rasmi. Haijathibitishwa kama ameruhusiwa na uongozi wa eneo husika, kwani wafanya biashara ndogo ndogo hawaruhusiwi kufanya biashara eneo la hilo na ndani ya vivuko pia.
Akisota
kwa makalio kama mlemavu, kwa mujibu wake staili hiyo inaweza kutumika
kuwadanganya watu wa usalama wadhani kuwa wwe ni mlemavu na kukuruhusu
kuingia Uwanja wa Taifa bure kuangalia soka

Staili ya utembeaji mabosi ambao wamesha jilimbikizia mali kwa ufisadi.Katunisha na kitambi cha kizushi
Hii inaitwa fainali uzeeni. Hapa anaonekana mzee aliyechoka baada ya kuuchezea ujana wake bila kijiwekea akiba.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment