Tanzania Entertainment News,Politics News ,Celebrity Gossip and Live Updates
Home
»
Kitaifa
» NEWSSS!!! MKUU WA KITUO CHA POLISI wilaya ya Kilindi APIGWA RISASI na KUNDI LA VIJANA waliokuwa MSITUNI wakifanya MAZOEZI YA KIJESHI...
Mkuu wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Kilindi Mkoani Tanga Inspekta
Nsekelo amejeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi na kundi la watu
wasiojulikana waliokuwa wanafanya mazoezi ya kijeshi katika vijiji vya
Lolagana na Mwambe baada ya kutokea mapambano baina ya kikundi hicho na
polisi.
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment