Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kitu ambacho siku zote siwezi kukisahau katika  harakati na siku za Maisha yangu ni jinsi dada
 wa kwanza nilivyomfata na kumuomba kushoot video na mimi 
akasema "Siwezi kushoot Video na Ma undergeound" Dah! Iliniuma saaana... Lakini
 wewe
kwa moyo mmoja bila maringo uliamua kunisaidia
 na kukubali kushoot video na mimi na
 hatimaye ikaniweka kwenye Ramani... dah! siku zote huwa
nakushkuru na kukuombea sana
 kwa mwenyezi mungu kwani naamini wewe ni

 mmoja ya watu waliofanya hadi mimi kufika hapa... MyVideo Queen Nenda Kamwambie #BestSongofTheYear2009  BestRnBSongof TheYear2009

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top