Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Tatizo hili wengi wanalitambua kama tatizo la kibofu cha mkojo.

Prostate ni kakokwa kadogo ambako kapo chini ya kibofu cha mkojo. Kazi ya Prostate ni kutoa maji maji kama

maziwa ambayo kazi yake kubwa ni kubeba na kusafirisha mbegu za kiume kupitia njia ya mkojo na kwenda

sehemu inakohitajika.

Jinsi umri wa akina baba/kaka unavyosonga mbele, prostate huwa ina kawaida ya kuongezeka ukubwa (kuvimba),

aidha kutokana na infection au sababu nyengine.

Kuvimba kwa prostate husababisha kukandamizwa kwa kibofu cha mkojo kiasi ambacho mkojo kidogo ukiwa ndani

ya kibofu mtu hudhani kuwa kibofu kimejaa mkojo kumbe siyo.

Dalili za mtu mwenye tatizo hili ni kama ifuatavyo:

1. Kubanwa na mkojo mara kwa mara

2. Kwenda haja ndogo usiku mara kwa mara

3. Damu kwenye mkojo au kwenye mbegu za kiume

4. Maumivu wakati wa kukojoa

5. Maumivu baada ya kukojoa au wakati mtu anamalizia kukojoa

6. Kushindwa kukojoa

7. Maumivu wakati mbegu za kiume zinapotoka

8. Maumivu kwenye hips, mgongo, nyonga au mapajani

9. Matone ya mkojo kutoka yenyewe au mtu kushindwa kujizuia na kukuta mkojo umetoka

Mtu mwenye shida hii anaweza akajihisi kama amepungukiwa na nguvu za kiume (sperm count) kitu

ambacho kwa asilimia kubwa si kweli. Hii husababishwa na ile hali yay ale maji maji yanayosafirisha

mbegu za kiume kutokuwepo hatimaye mbegu hizo huishia njiani.

Hali ikizidi kuwa mbaya hupelekea mtu kufanyiwa upasuaji kwa ajili ya kuiondoa prostate hiyo

Wengi wenye tatizo hili wametumia bidhaa zifuatazo na kubaki wakifurahia

matunda ya bidhaa hizi.

Vile vile akina kaka/baba jengeni mazoea ya kula nyanya kama ilivyo, papai, zabibu na pera kama kinga. Ukiweza

kula nyanya kwa wingi kila siku,

itakuwa ni vizuri

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top