Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This



Haya ni baadhi ya maneno mapya yaliyoanza kuibuka kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na isiyo ya kijamii nchini kufuatia kuzagaa kwa picha za "kimahaba" kati ya mwanamuziki Diamond Platnumz na mwanadada wa bongo movies Wema Sepetu kuwa wawili hawa wamerudia tena penzi lao la zamani.
1. ETI…
Martin kadinda ambaye ni manager wa wema anaujua mchezo wote. Alikuwa anamchora tuu peny na “kitanda cha maua” (Sio jukumu lake kumwambia penny hata hivyo)
2. ETI…
Chain ya Wema na diamond zinafanana. Kwakuwa walinunua pamoja na zaidi ya hilo Wema alimpa Diamond simu kama yake (Inafanana na simu y wema)  kama birthday gift ila Diamond akazuga kapewa na jamaa tuu hukooooo
3. ETI…
Hayo yote yakiendelea kutokea, inasemekana Penny ana “kitumbo” aka ujauzito wa Diamond Platnumz
4. ETI…
Wanaosubiri hiyo movie ya Diamond na wema iliyopewa jina la “Temptations”  watasubiri mpaka miguu iingie tumboni maana haitakaa itoke milele.

5. ETI...
Ukiichunguza vizuri sehemu ya "zipu" ya Diamond Platnumz (pichani) utagundua jamaa huyu alikuwa kwenye "hisia kali sana"  mda huo


Jamani haya sio maneno yetu bali ni maneno yanayosemwa hukooo kwenye mitandao. Kazi ni kwako! Sisi kazi yetu ni moja tuu, kukuhabarisha!
-----BONGOMOVIES.COM

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
11 Oct 2013

Post a Comment

 
Top