Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 

Vijana 11 wamekamatwa wakiwa wanafanya mazoezi ndani ya msitu wa Makolionga mkoani Mtwara, huku wakiwa na CD 25 zenye mafunzo mbalimbali toka kundi la kigaidi la Al Qaeda na Al Shaabab.

Pia wamekutwa na zana tofauti za hatari pamoja na vyakula vya aina mbalimbali

SOURCE: Breaking News RADIO 1 STEREO na  ITV

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top