Chuchu Hans ametimkia
nchini India baada ya kukwaa skendo ya kugombania penzi la Vicent
Kigosi(Ray) na muigizaji mwenzake Blandina Chagula(Johari). Inadaiwa
kuwa tangu skendo hiyo iliporipotiwa magazetini na mitandaoni Chuchu
ambaye ameigiza filamu nyingi mwaka huu amekuwa akiishi kwa
kujifichaficha ili kukwepa macho ya watu baada ya msala huo na hivyo
kuamua kwenda India kwa shangazi yake ili kuondoa stress na hata
kuondoka kwake aliondoka kupitia Zanzibar na sio Dar es salaam ili
kukwepa macho ya wanaomjua. Chanzo kilicho karibu na Chuchu kiliambia
Globalpublishers "Amekwenda kwa shangazi yake India, amesafiri wikiendi
hii kwa ndege ya Emirates, tena ili kukwepa macho ya watu ameondokea
Zanzibar. Ile skendo imemchanganya sana
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment