Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Inaonekana watoto wa kibongo watamu kweli!!! Baada ya kulipotiwa kutoka na dada zetu kadhaa wa kibongo na juzi kati kusababisha VITA kali kuliko ile ya ALSHABAB kati ya Diva na Huddah sasa hivi RAPCELLENCY EL PRESIDENTE PREZZO aamua kutoka na mtoto wa kichaga anaejulikana kama STALLISHA TILLYA au ChaggaBarbie ambae makazi yake yapo kwa Obama.. Mapenzi hayo yanayoonekana bado mapya mapya yanachukua hatam zaidi Instagram uku baby baby zikiwa nyingi kuliko... Watabiri wa mambo wanaosubili kuona mwisho utakuwaje maana eheheheheh shemej yetu nae ajambo kwelikweli... We love you Kenyans mnakaribishwa na wengine kuja kujichagulia sio Prezzo peke ake, na Kina Diamond mkatuletee mawifi wa kikenya ihihihihh PICHA ZINAJIELEZA!!! okbaiii kwaleo inatosha

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top