Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kuna ulazima wa kuongeza juhudi katika kutoa elimu juu ya matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii hapa nchini Tanzania. Nchi hii ni moja ya nchi zinashoshika nafasi ya juu katika matumizi ya mitandao hii ya kijamii, lakini kuna baadhi ya wadau wanaitumia visivyo fursa hii kwa kufanya vitu vilivyo kinyume na maadili kila kunapokucha. Tazama picha hizi za huyu mdada alizozitupia mtandaoni na watu pasi na shaka wanatupia Comments . Jiulize jamii inaelekea wapi sasa?!

 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjOPJHUNP4tWso6H6W1cJWuYVKCLzM37c197fXHilOGZkSAQcwEp6AYRQukZTivZkSGBM30b3HpLOgfMPZCE_A5AVdvQJK3IlweekqL7wG8fBOrASGbOPiUPzBR9dJWn3ma3KeG7AbGE8Y/s1600/IMG-20131018-WA0010.jpg

<<<BOFYA HAPA KUZIONA PICHA HIZO >>>>

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top