Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi amefunguka ikiwa ni siku
chache zimepita baada ya sakata la kutolewa nje ya bunge msobemsobe
baada ya jaribio la kuzuia askari wa Bunge kutotekeleza amri ya Naibu
Spika Job Ndugai ya kumtoa nje Kiongozi wa Kambi rasmi Bungeni Mh.
Freeman Mbowe
Kupitia ukurasa wake wa facebook Sugu amefunguka mipango yake baada ya sakata hilo.. "Jmosi hii nitakuwa home mbeya, nitawahutubia watu wangu ambao kimsingi ndio walionituma ili niwaelezee udwanzi wa ndugai na kilichotokea..."
pia unaweza kumuadd kwenye ukurasa wake wa facebook BOFYA HAPA

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment