Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Ratiba ya Kombe la Capital One Raundi ya nne.
Mara baada ya kumalizika kwa raundi ya tatu ya Kombe la Capital One.Droo ya raundi inayofuata (Raundi 4)imeshapangwa.
Michezo hiyo yote inataraji kupigwa katikati ya wiki inayoanza Tarehe 28 mwezi Oktoba.
Droo ya Raundi ya Nne:

Sunderland Leicester Birmingham Man Utd Burnley Arsenal Tottenham Newcastle
v
v
v v v v v v
Southampton Fulham Stoke City Norwich West Ham Chelsea Hull City Tigers Man City

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top