Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa watu wanaozaniwa kuwa
ni magaidi wamevamia kituo cha Polisi katika Mji wa Mandera nchini Kenya
na kuwaua polisi wawili
, watatu wamejeruhiwa vibaya na baadaye kuchoma magari zaid ya 11.
Ungana nasi baadaye kwa habari zaidi
, watatu wamejeruhiwa vibaya na baadaye kuchoma magari zaid ya 11.
Ungana nasi baadaye kwa habari zaidi
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment