Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Binti mdogo mwenye miaka 21 na mpenzi wake mwenye miaka 25, wameamua kukatisha maisha yao na kuacha note yenye maneno “Two great people are going to paradise”.

Kisa chote hiki kinatokana na mama wa binti Ariana O’Neal kukataa mapenzi ya hawa wawili.


David na Ariana walikuwa wanaishi jijini New York, katika mapenzi yao waliwai pia kukamatwa na polisi kwa kuhusuka na wizi wa vito kutoka kwenye duka la kuuza vito

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top