Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Bongo Flava Prince, Diamond Platnumz yupo nchini Afrika Kusini kishule na kikazi pia. Staa huyo wa Kesho ameshoot video ya wimbo wake mpya ambao bado haujulikani ni upi mpaka sasa. bef82682fdd111e2a8b522000a9f3cba_7 Hata hivyo tofauti na video zake za awali, hii mpya amekata kisu kirefu zaidi kwa kushoot na miongoni mwa gari yenye thamani zaidi duniani, Ferrari. Cha kufurahisha zaidi ni kuwa gari hiyo inayotengenezwa na Waitaliano, imewekewa namba za gari binafsi kwa kuandikwa ‘Platnumz’ na Wasafi’. 0b54d01efdd411e2bd3c22000ae90db5_7 Mafundi wa Afrika Kusini wakihakikisha plate ya Wasafi imekaa vizuri 0f7a71cefdef11e2999e22000a1f8afc_7 dd5ff8c8fdce11e2aa0322000a1fa408_7 Inaonekana hii, Diamond Platnumz aka Coca Boy amejiandaa kwenda international zaidi.

Na .swahilitz.com

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top