Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This



Mwanadada Rose Ndauka amewawakia baadhi ya waandishi wanoandika habari zauongo kuhusu yeye kufuatia hivi karibuni kuripotiwa kuwa amekutwa kaitika nyumba ya wageni akivunja amri ya sita na mwanamziki mmoja wa muziki wa kizazi kipya.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii Rose aliandika
Dah magazeti yanapenda chokochoko kweli haswa wakimuona mtu katulia....kama hujui uliza sio tu unaongea au unaandika kitu ambacho ukijui......mnaudhi sana
Huku akionesha picha ya gazeti moja la udaku lilikouwa na habari hiyo.


Hapo awali iliripotiwa na baadhi ya mitandao ya habari na baadhi ya magazeti kuwa mwanadada huyu alionekana akipapaswa ndani ya gari na baadaye yeye na mwanamuziki huyo aliyotajwa kwa jina la dogo  Nasry kwenda kuvunja amriya sita katika hoteli ya chumba hicho. 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top