Kesi ya jinai inayomkabili muigizaji Wema Sepetu, ya tuhuma za kumpiga vibao vitano meneja wa hoteli ya Mediterano , pamoja na kuharibu mali za hoteli hiyo,
imeahirishwa leo hii pia mpaka tarehe 20 mwezi wa nane.
sakata hilo lilitokea siku ya tarehe 4 mwezi wa 4, kesi yake ya
kwanza ilisomwa siku ya tarehe 17, na kuahirishwa mpaka leo hii, na
baada ya kufika mahakamani leo hii na Wema kukataa mashtaka hayo, kesi
imeahirishwa tena mpaka tarehe 20 mwezi wa 8.
“Siku ya kwanza ya keshi hiyo wanaume walikuwa wengi, lakini leo hii imekuwa
tofauti, wasichana walikuwa wengi yaani marafiki zake wakiongozwa na
Kajala, walifika majira ya saa mbili na robo na waliitwa sehem maalum
(chemba) kwa ajili ya kusikilizwa kesi hiyo, na keshi hiyo ilisomwa ila
ilihairishwa mpaka tarehe 20/08/2013″ amesema Mwahija (mwandishi wa habari wa kujitegemea
SOURCE WATU SMAT BLOG
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment