Mwanamke
mmoja ambaye ametambulika kuwa ni mtanzania amekamatwa kwenye airport
ya Dubai akiwa na dawa za kulevya aina ya Cocaine na alikuwa anatoka
Brazil kuja Tanzania ambapo baada ya kuhojiwa na Polisi wa Dubai, kasema
rafiki wa mme wake ndio alimuomba ampelekee mizigo yake nyumbani Tanzania.
Huyu mwanamke amesema alikuwa anatoka kwenye mapumziko ya miezi mitatu ambayo story kamili BOFYA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment