Kampuni ya Apple ina kawaida ya kuitisha mikutano kila mwaka na kila
mara wanapoitisha mikutano lazima watangaze kutoa device mpya au vifaa
vipya.Apple ambao kwa sasahivi wanakimbiza soko na smartphones zao za
iPhone 5 wameitisha mkutano tarehe 10 September 2013 na kwenye mitandao
imezuka mijadala mbalimbali ya watu wakijaribu kudadisi aina gani ya
simu mpya ambayo Apple wataitoa.Na hizi ni baadhi ya picha zilizovuja
kutoka viwandani vya Apple zinazoonesha simu mpya mbili aina ya 5s na 5c
ambazo inasemekana Apple watazitambulisha sokoni hivi karibuni.
Picha hizi inasemekana zimeleak kutoka kiwanda kimojawapo cha Apple.Na iPhone 5c ni hii hapa chini inasemekana yenyewe itakuwa ni plastic zaidi...
Picha hizi inasemekana zimeleak kutoka kiwanda kimojawapo cha Apple.Na iPhone 5c ni hii hapa chini inasemekana yenyewe itakuwa ni plastic zaidi...
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment