Kwa
mwaka huu FIESTA 2013 itafika kwenye miji 14, huu ni mwaka wa 12 tangu
tamasha kubwa la Fiesta lianze ambapo kwa mwaka huu mkoa wa Kigoma ndio
utafungua pazia la tamasha la FIESTA 2013,,,, Sebastian Maganga ni
mwenyekiti wa kamati kuu ya FIESTA 2013 hapa akifafanua zaidi..
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment