Ukweli ni kwamba
ndoa nyingi zinavunjika kutokana na tatizo hili. Je, hakuna
haja ya kuitisha mjadala wa kitaifa? Taifa letu linaangamia kwa kukosa
maarifa.
Hivi upungufu wa
nguvu za kiume ni nini? Kifupi ni mwanamume kutokuwa na uwezo wa kutoa
mbegu bora zenye uwezo wa kutungisha mimba, au kutosimama kwa uume.
Takwimu zilizopo
zinaonyesha kuwa asilimia 60 ya wanandoa nchini wanakabiliwa tatizo
hili. Kwa hiyo, mabango ya waganga yaliyopo barabarani hayajapunguza
kabisa tatizo hilo.
Hawa watu wanatibu
watu au majini? Hapo ndipo kiini cha makala haya. Sababu kubwa ya
ongezeko la wenye matatizo haya ni kwamba dawa nyingi zinazodaiwa
kuponya tatizo hili hazina viwango vya kuitwa dawa, bali ni vichocheo tu
kwani kinachopigiwa chapuo huwa ni kumudu tendo kitandani na si nguvu
asilia.
Waganga wengi wameelekeza nguvu zao huko na ni hapo ndipo janga hili la kitaifa linapoota mizizi.
Ukweli ni kwamba
upungufu wa nguvu za kiume hauondolewi kwa dawa za kuchochea nguvu
wakati wa tendo. Hizi zina madhara makubwa na mara kadhaa husababisha
vifo kwa wanamume wengi wakiwa ‘guest’ na vimada wao kwani hulipua moyo.
Ni lazima kiini cha
tatizo hili kichunguzwe na tiba stahiki ipatikane. Kinyume cha hapo,
janga hili linaweza kugeuka na kuwa dubwana kubwa la kutumaliza.
Matatizo ya nguvu
za kiume huchangiwa na kuugua kwa muda mrefu, ugonjwa wa kisukari, kuvaa
nguo za kubana sana, mionzi ya simu, kompyuta na mengineyo. Pia dawa za
kuua wadudu huleta tatizo hili kwani zina viambata sumu viitwavyo
‘estrogen’, matatizo ya kisaikolojia, kupiga punyeto kwa muda mrefu na
kutumia vyakula vyenye kemikali.
Utafiti unasema
kuna uhusiano mkubwa sana kati ya upungufu wa nguvu za kiume na kuwa na
sumu mwilini zinazotokana na vyakula vyenye kemikali tunavyobugia kwa
kupenda au kutokupenda.
Ni kutokana na
utafiti huo ndipo dawa bora yenye uwezo mkubwa wa kuondoa sumu mwilini
kwa muda mfupi ikagunduliwa. Hii ikiwekwa kwenye kinywaji chochote
chenye kemikali, mara moja hutenganisha sumu iliyomo humo.
Dawa hii pia huleta
nguvu za kudumu za kiume, hujenga afya na kuleta nguvu asilia. Hutatua
tatizo la nguvu za kiume huku ukiondoa pia tatizo la ugumba na ni vizuri
wenye matatizo kama hayo wakatumia vyakula vya protini hasa ya mimea
kwani hurutubisha mbegu.
Kuna aina 2 ya
vyakula ambavyo vimefanyiwa utafiti na kubaini kuwa ni moja ya vyakula
vinavyosaidia kuongeza nguvu za kiume na havina madhara katika engezeko
la nguvu za kiume, katika vyakula hivyo vyenye uwezo wa kuongeza nguvu
za kiume kiasili ni:
1. TANGAWIZI
- Tangawizi ni moja
ya chakula kinachoweza kurejesha nguvu za kiume, unaweza kuichemsha
tangawizi na ukatumia kwa kuinywa kama chai Asubuhi, mchana na jioni pia
Tangawizi unaweza ukaitumia katika mchanganyiko wa kiasili kwa kutumia
habat soda,asali,kitunguu saumu na tangawizi yenyewe. JINSI YA KUTUMIA
MCHANGANYIKO HUU: Chukua tangawizi na kitunguu saumu vitwange kisha
vichanganye na asali pamoja na unga wa habat soda na uwe unakunywa
mchanganyiko huu kwa kutumia kijiko cha chai kimoja kutwa mara 3 kwa
muda wa wiki moja na utaona mabadiliko.
2. TIKITI MAJI:
-Chakula kingine
kinachosaidia katika upande wa kuongeza nguvu za kiume ni tunda la
Tikiti Maji, unaweza ukachukua tikiti lako ukalikata na kutengeneza
juice ya Tikiti kisha unakunywa ila sio lazima utengeneze Juice hata
lenyewe tu unaweza ukalila. Ila jitahidi kutumia tunda hili hata kila
siku kwani linasaidia sana kwa wenye matatizo ya nguvu za kiume.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment