Kioja hiki kimetokea kwenye saloon moja
sinza , demu ambae jina lake halikuweza kupatikana kirahisi ila
inasemakena ni maarufu hapa mjini kwa kuwa company na wasanii wa bongo
flava , alifika saloon na kuanza kuwaambia wenzake kuwa anatoka na
wasanii wakubwa hapa bongo na baada ya muda mfupi alivua nguo na kuomba
kupigwa picha ili amtumie boy wake kwenye whats app...kila aliye kuwa
pale saloon aliruhusiwa kupiga picha kwa simu yake bila shida......Hapo
sasa sijui ni kutafuta KIKI ama nini?
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment