Chumba cha hoteli ambacho Rose Ndauka
alinaswa akiingia na dogo Nasry ambaye ni msanii wa bongo
fleva, kimekutwa na kondomu tano zilizotumia...
Rose Ndauka ambaye ni mchumba wa
Malik Bandawe,wiki iliyopita alinaswa akiingizwa katika chuba
hicho na msanii Nassoro Ayoub "Nasry".
Kwa msaada wa wafanya usafi wa
hoteli hiyo iliyoko maeneo ya kinondoni jijini Dar,wawili hao
waliingia katika chumba nambaG17 cha hoteli hiyo na kutumia
masaa takribani matatu huku chumba kikiwa kimefungwa na
walipotoka chumba kilikuwa hoi bin taaban....

"Mimi ndiye niliyefanya usafi
chumba namba G17 siku hiyo na nilikuta kondomu tano zilizotumika
huku shuka zikiwa zimevurugika kabisa."..Alifunguka mfanya usafi
huyo
Tukio la binti huyu kunaswa
akiingizwa hotelini na dogo Nasry linatia shaka uchumba wake na
Malik Bandawe ambaye kwa kipindi kirefu wamekuwa wakitangaza
mipango yao ya kufunga ndoa
Na zeddylicious blog
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment