WEMA SEPETU AFUTURISHA WATU MBALIMBALI NYUMBANI KWAKE ....ANGALIA PICHA A+ A- Print Email Wema Sepetu ambaye ni actress na Miss Tanzania wa mwaka 2006/2007 jana aliwafuturisha watu nyumbani kwake kijitonyama huku pia mastaa mbalimbali kama vile wa filamu, muziki na mitindo wakijumuika nae katika tukio hilo lenye baraka hasa katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani, Mungu akuzidishie Wema. Angalia baadhi ya picha hapo chini.................... images by: bongo5 Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment