Akiwa nchini Senegal,Rais Obama
alinukuliwa na vyombo vya habari akiyasisitiza mataifa ya afrika
kuhusu kutambua uwepo wa MASHOGA na kwamba haki zao za
msingi ni lazima ziheshimiwe...
Kauli hiyo imewachefua wengi hasa viongozi wa dini nchini Kenya .
Jana, kiongozi wa kiislamu
alimuuliza obama swali gumu sana kwamba "Atajisikiaje endapo
atabaini kuwa watoto wake wa kike Sasha na Malia ni
WASAGAJI???"
Kwa mtazamo huo huo, Wakenya nao
wamepaza sauti zao na kumhoji obama kwamba "Angeupataje urais
wa marekani kama baba yake mzazi angalikuwa ni SHOGA wa kuliwa
0712, au 0713 au ile 0718????"..
Waafrika wengi wameanza kumuona
Obama kama mtu msaliti na mbinafsi.Yeye alizaliwa baada ya
wazazi wake kukutana kimwili, mama akabeba mimba na hatimaye
akamzaa yeye.Mungu akambariki, leo hii ni Rais wa taifa kubwa
duniani.
Iwaje yeye azunguke duniani na kutetea mambo ya USHOGA na ndoa za jinzia moja??
Huo ni ubinafsi..Sitaki niseme mengi.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment