Star kutoka
Hollywood, Beyonce (31), alibaki akiwa amekaa kwenye stage huku
akiendelea kuimba licha ya nywele zake kunjiviringisha kwenye feni
lililokuwa juu ya stage, alipokuwa aki-perform (Mrs Carter World Tour)
juzi (July 22), Montreal, Canada.
Janga hilo
lilimkuta alipokuwa akiimba wimbo wake "Hello", ndipo wasaidizi
wakepamoja na baunsa walisogea kumsaidia ambapo walifanikiwa kumtoa
baada ya kuzikata na mkasi.
Licha ya tukio hilo kumtokea Beyonce aliandika utani juu ya kilichomtokea kupitia mtandao wa Instagram.
ANGALIA VIDEO HAPO CHINI
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment