Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Shakira Kwenye Maji
Wachezaji wengi wa mpira wa miguu kwa sasa wapo kwenye ziara mbalimbali na timu zao, huku wakiwa kwenye mazoezi ya nguvu kujiandaa na msimu mpya wa ligi – ila GERARD PIQUE kwa sasa yeye yupo kivyake akiwa anajiachia Hawaii na wake mrembo SHAKIRA.

Nyota huyo wa timu ya Barcelona yupo kwenye likizo ya ziada iliyorefushwa kutokana na ushiriki wake kwenye michuano ya Kombe la Mabara iliyomalizika nchini Brazil mwezi uliopita.

Na hii ni mara ya kwanza kwe Pique kumuona demu wake akiwa amevaa bikini huku kwenye jamii toka alipojifungua mtoto wao wa kiume miezi sita iliyopita.

 
Shakira na Pique


Shakira Akiwa Anakimbia

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top