Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Katika kile kinachoonekana kuwa ni moja ya mbinu ama njia za kumuumiza Chris Brown ambaye kwa sasa ex-boyfriend wake, Rihanna safari hii ameamua kuvuka mipaka na kuachia mtandaoni video ambayo inamuonyesha akikatika vilivyo katika ngoma maarufu ya Fu**** Problem ya A$ap Rocky akiwa ameshirikiana na Kendrick Lamaar pamoja na Drake.

Hatari zaidi kutoka katika clip hii, Kipande alichoachia kinamuonyesha aki-dance katika sehemu ya verse ya Drake ndani ya wimbo huu - Star ambaye ni hasimu mkubwa sana wa Chris Brown, chanzo cha uhasimu wao kikiwa ni mapenzi ya huyu huyu Rihanna.

Kwa sasa inasubiriwa kuona Chris ata-react vipi katika hili ama ni kitu gani kingine mmojawapo kati yao atafanya, ili kurudisha ama kuharibu zaidi mahusiano yao.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top