Kutokana na kitendo
chake cha kuchelewa mara kwa mara kwenye shoo mwanadada Rihanna ajikuta yupo
katika wakati mguu baada ya mashabiki kumwagia chipsi.
Mashabiki hao
walionyesha kuchoshwa na tabia yake ya kuchelewa ovyo kwenye maonyesho
yake,safari hii mashabiki hao walionekana kujipanga ili kuikomesha tabia hiyo ya
mwanadada huyo kwa kumwagia chips jukwwani baada ya kuchelewa kufika katika
onesho lake la Diamonds huko Manchester, Uingereza . onyesho hilo lilifanyika
siku ya Jumanne wiki hii.
Kutokana na kitendo
hiko kilikuwa cha ghafla mwanadada huyo hakufikilia kutumia njia ya haraka hata
kuchukua mwamvuli wake maarufu 'Umbrella' kujikinga na chips hizo kutoka kwa
mashabiki hao ambao pamoja na hasira lakini bado walimngoja kwa
hamu.
Rihanna alichelewa
kwa saa moja, lakini kitendo hiko si cha mara ya kwanza kuchelewa katika
matamasha yake hali inayopandisha hasira kwa mashabiki wake wanaofika kwa wingi
kumuona.
Mwezi march mwaka huu alichelewa masaa 2 katika onyesho la Montreal, July 6 alichelewa tena masawa mawili huku akiwa amelewa chakali.
Rihanna baada ya kumwagiwa chipsi hizo jukwaani kutoka kwa mashabiki wake alijikuta akijibu mashambulizi hayo kwa kutoa maneno makali

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment