.

Jana usiku timu ya Barcelona walikula kichapo cha bao 2-0 baada ya kufungwa na Bayern Munich, Barca iliingia dimbani ikiwa na nyota wake wote kasoro wale walioshiriki kombe la mabara, Huku Messi akiwa nahodha wao, Magoli yalifungwa na Mandzukic pamoja Na Lahm.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro









Post a Comment
Post a Comment