Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Nicki Minaj amesema kuwa Dj Khaleed alikuwa anatania kuhusiana na swala la kupenda yeye na kutaka kumuoa na pia msanii huyu amesema kuwa hii ni njia ambayo Dj huyu ameona ni sahihi kutumia kutangaza albam yake mpya pamoja na single ambayo ndani yake Minaj ameshiriki pia.




Wakati huo huo jana Dj Khaleed katika mahojiano aliyoyafanya amesema kuwa yupo serious, so lets keep on watchinh the game. 

Msikie Nicki Hapa;
“I was shocked just like the rest of the world and I was cracking up laughing with the rest of the world ’cause Khaled is a master at what he does,”

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top