Jana usiku Diva wa Clouds aliwakutanisha wanamuziki wawili Snura na
Shilole ambao kwa sasa ni kama wanashindana kwenye staili ya Muziki
wanao Imba ...Snura kwa sasa anatamba na wimbo wake wa Majanga wakati
shilole ametoa wimbo wake unaitwa Nakomaa na Jiji unaotamba kwenye Redio
Mbali Mbali...Sasa Katika Kipindi hicho Diva Alijaribu kuwachimba kama
wana Beef kati yao lakini walikataaa....
Je wewe unavyoona kati ya SNURA NA SHILOLE nani Mkali?
Je wewe unavyoona kati ya SNURA NA SHILOLE nani Mkali?
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment