
Mbali na tamthilia zake, kwenye nchi ya Ufilipino kuna kisiwa kinaitwa Luzon.
kwenye hicho kisiwa kuna ziwa linaitwa Taal, kwenye hilo ziwa kuna kisiwa kinaitwa Volcano Island na kwenye hicho kisiwa kuna ziwa linaitwa Main Crater Lake, ndani ya hilo ziwa kuna kisiwa kinaitwa Volcano Point.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment