Wema Sepetu amenunua gari jipya la rangi ya pink kutokana na maneno ya
meneja wake Martin Kadinda aliyoandika facebook na kuweka picha ya Wema
akiwa na gari hilo "samahani kwa ubora wa picha kuwa hafifu....... Ila
huyu dada anapenda
pink kupitiliza..... haya she gat new pink Car.... mkutane
barabarani..." aliandika Martin. Licha ya gari hilo kutotajwa gharama
yake lakini linaonekana kuwa na gharama pia kama mengine anayomiliki
actress huyo wa Swahiliwood.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro









Post a Comment
Post a Comment