Leo
katika pita pita zangu kwenye ukurasa wa FB wa msanii wa bongo muvie
Batuli, nimekutana na habari hii ya majonzi ya kuondokewa na msanii
mahiri wa maigizo na bongo muvi hapa nchini, Batuli ameandika maneno
haya hapa chini
R.I.P baba yetu Mr Bomba Mwenyezi Mungu aiweke roho yako mahala pema peponi "Amin"
R.I.P baba yetu Mr Bomba Mwenyezi Mungu aiweke roho yako mahala pema peponi "Amin"
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment