Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Wakati baadhi ya watanzania wakifurahia madudu ya washiriki wetu ndani ya jumba la Big Brother, wenzetu wa Ethiopia wameanza kuchukua hatua stahiki dhidi ya mshiriki wao aliyekubali kufanya mapenzi hadharani....

Kundi la wanasheria toka Adds Ababa limetangaza kuwa kwa sasa lipo katika hatua za mwisho za kukamilisha mashitaka dhidi ya mshiriki wa mwaka huu ambaye ni Betty alionekana mara kadhaa akingonoka na Bolt hadharani kama mbwa...!!!!

Big Brother siyo shindano la kungonoka na kuoneshana ujuzi wa tendo la ndoa.....Hili ni funzo kwa washiriki wetu Feza na Nando

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top