Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Kiungo wa kiargentina Fernando Gago amekamilisha usajili wake wa kurudi kwenye
 klabu ya 
nyumbani kwao ya Boca Juniors akitokea Valencia baada ya kufaulu vipimo vya afya 
na kusaini mkataba wa miaka mitatu juzi jumatatu. 


Gago tayari alishacheza kwa miezi Boca akitokea Valencia lakini Boca waliamua kumrudisha  moja kwa moja kiungo huyo ambaye alianza kucheza soka la ushindani mnamo mwaka  2004     akiwa na klabu hiyo.

Gago alijiunga na Real Madrid mnamo mwaka 2007 na kusiadia klabu hiyo kushinda ubingwa 
wa La Liga mara mbili kabla ya kuhamia Valencia msimu uliopita akitokea AS Roma alipopelekwa kwa mkopo na Madrid baada ya kukosa nafasi katika kikosi cha kwanza.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top