Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This



Mbunge wa Kigoma Kaskazini amesema atamchakaza vibaya Ray Kigosi katika raundi ya pili tu kwenye pambano lao la ngumi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Pambano hilo limepangwa katika Tamasha la Matumaini litakalofanyika Julai 7 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Kweli mimi nimejiandaa vizuri kisaikolojia na mazoezi ni ya kutosha hivyo watu waje waone tu nitakavyomchakaza Ray.
“Kuhusiana na nitashinda katika raundi ya ngapi, jibu langu ni raundi ya pili. Nina hakika hakutakuwa na ubishi, hivyo watu waje waone,” alisema Zitto akionyesha kujiamini.
Pambano hilo pamoja hilo, mbunge wa Kawe, Chadema,Halima Mdee atazichapa na mwana Bongo Movie, Jacqueline Wolper.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top