Utafiti mpya na wa kina kabnisa umeonesha
kuwa asilimia 85 ya wanawake duniani kote huwa wanafanya mapenzi saa 5 usiku
kila Jumamosi.
Kwa mujibu wa utafiti huo uliozingatoa vigezo
vya kibinadamu, saa 5 usiku siku ya Jumamosi ndiyo muda ambao wanawake wengi
wanajisikia hamu ya kufanya tendo la ndoa kuliko muda mwingine wowote katika
siku saba za wiki.
Asilimia 85 ya wanawake
waliohojiwa katika utafiti wa kiafya, walikiri kufanya kujisikia zaidi hali ya
kutaka kufanya mapenzi muda huo katika siku ya Jumamosi kuliko muda mwingine wowote.
Utafiti
mkubwa ulifanywa katika nchi za Kusini Mashariki, Magharibi Mashariki na meneo ya Scotland ambapo wanawake walisema
muda huo mwili wenyewe huwa unahitaji kukutana kimwili na wanaume wenye uzoefu
wanalijua hilo bila kuombwa wanapokuwa kitandani.
Aidha,
utafiti mwingine umebaini kwamba, asilimia 75 ya wanawake duniani kote
wanapenda kufanya mapenzi mara tatu kwa wiki, ikiwemo siku hiyo ya Jumamosi.
Kazi
iko pale ambapo utafiti umeonyesha kuwa asilimia 25 ya wanawake dunaini kote hupenda
kufanya mapenzi kila siku katika muda wa siku saba. Kundi hili la wanawake
ndilo linalohusika zaidi na usaliti katika uhusiano na pia watafiti wanadai kuwa,
katika asilimia hiyo 25, 23 hukumbwa na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment