


mchezaji chipukizi wa Manchester
City, Abdul Razak aliondolewa kwenye kikosi hicho kwa kupigana na
mchezaji mwenzake mazoezini.
Kiungo
huyo mwenye umri wa miaka 20, aliadhibiwa kwa kumpiga Jean-Jacques
Gosso, anayecheza Mersin Idmanyurdu ya Uturuki, ambaye naye ameeenguliwa
piaFacebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment