Matukio ya kikatili yameendelea kutikisa nchini
Nigeria baada ya mwanamke mmoja kubakwa na kuzikwa akiwa
mzima....
Taarifa toka katika mitandao ya kinigeria zinadai
kuwa mwanamke huyo alibakwa na kisha wabakaji wakamfunga miguu na
mikono.....
Zoezi la
kumfukua likiendelea.....
Mwili wa
dada huyo ukifukuliwa
Mwili umekwisha fukuliwa,
bahati mbaya dada huyo amekwisha fariki....
Baada ya kumfunga,Mashetani hao walichimba shimbo
porini walikotekeleza unyama huo na kisha kumzika akiwa hai ili kuficha
ushahidi.....
Jeshi la polisi nchini humo lilifanikiwa kuipata habari
hiyo masaa 12 baada ya mwanamke huyo kuzikwa akiwa hai....
Zoezi la kumfukua dada huyo lilianza, lakini bahati
mbaya dada huyo alikuwa amekwisha fariki
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment