Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Nasema nao ndio nyimbo bora ya hip hop katika tuzo za Kil music mwaka huu,nyimbo hii bado inaendelea kufanya vizuri katika vyombo vya habari vingi hapa Tanzania.

Moja kati ya maneno yaliyomo katika nyimbo hii ni’’malaya wenye viwango wapo bongo movies’’Ney wa mitego alisema’’Sijakosea kuwaimba bongo movies kwani ni kitu ambacho nina ushahidi nacho kabisa,nilisahawahi kushuhudi hawa super stars wakijiuza kwa rafiki yangu anaeishi brazil,na walikua watatu.
Na kila mmoja alitaja bei yake yani kitu cha kusikitisha sana,unajua mimi huwa siropoki bali huwa nasema sana ukweli kwenye kila kit

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top