Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

NTV Kenya wanakwambia kuna mwanamume mmoja wa makamu kutoka Jimbo la Kiambu yuko mahututi katika hospitali ya wilaya ya Kiambu baada ya kupewa kichapo cha mbwa mwizi na wananchi kisa alifumaniwa katika zizi la wenyewe akimchafua ng’ombe mwenye mimba usiku wa kuamkia leo.

 Mwanaume kafumaniwa akifanya mapenzi na Ng’ombe.Tazama Video hapo chini.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top