Wema ambaye umri wake bado haujamtupa
, hivi sasa anakabiriwa na tatizo la ngozi kutokana na michirizi
kusambaa mwili mzima hasa mapajani....
Kamera zetu si mara ya
kwanza kumshuhudia Mrembo huyu akizingirwa na uzee kwani miezi kadhaa nyuma tuliwahi andika habari inayofanana na hii lakini ikielezea zaidi michirizi ya mapajani....
kwanza kumshuhudia Mrembo huyu akizingirwa na uzee kwani miezi kadhaa nyuma tuliwahi andika habari inayofanana na hii lakini ikielezea zaidi michirizi ya mapajani....
Tofauti na hivyo, hivi
sasa michirizi hiyo imekimbilia kifuani na mabegani hali
inayoashiria kwamba siku si nyingi itahamia usoni...
"Ukweli Wema
Sepetu sasa amebaki sura tu,mwili umemtupa kabisa .Nadhani hii
yote inatokana na matumizi mabaya ya mikorogo"...alisema shuhuda mmoja akimtazama Wema sepetu aliyekuwa jaji katika shindano moja la umiss jijini Dar
Baada ya kumsikia shuhuda huyo
akimtoa kasoro mrembo huyo, mwandishi wetu alitinga nyumbani kwa
Wema Sepetu kufanya naye mahojiano juu ya jambo hili
Alipofika nyumbani hapo, mwandishi
wetu aligonga geti na kufunguliwa na dada mmoja ambaye alidai
kuwa maadam Wema alikuwa amelala na kwamba hawezi kuamshwa mpaka
aamke mwenyewe..
Credits:Mpekuzi
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment