Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Tunatishaa Watanzania dunia nzimaaaMshambuliaji wa zamani wa SImba SC, Mussa Hassan Mgosi akifuarahia ushindi wa timu ya Jumuiya ya Watanzania nchini China wa mabao 2-1 dhidi ya Jumuiya wa watu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) jana katika mashindano maalum. Mgosi ambaye kwa sasa anachezea JKT Ruvu ya Dar es Salaam pia, amekwenda huko kama mchezaji mwalikwa kwa mwaka wa pili mfululizo.; 

Mgosi akipongezwa na Watanzania waishio China kwa kazi nzuri
Nahodha wa Tanzania na DRC, wakibadilishana bendera za nchi zao mbele ya marefa wa mechi hiyo jana kabla ya kuanza kwa mchezo


Pati la ushindi wabongo China


Benchi..
Wapinzania marafiki

Mwali huyo...

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top