Mtoto Fahad Jamal alipotembelewa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk
Emmanuel Nchimbi kwenye chumba cha ICU siku chache zilizopita.Mtoto
Fahad Jamal (7) ambaye hali yake ilikuwa mbaya na kulazwa chumba cha
wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU) katika Hospitali ya Selian
kufuatia kujeruhiwa na bomu katika mkutano wa Chadema Arusha Amefariki dunia
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment