Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


.
.
Bado ishu ya silaha (Bastola) inazidi kuigharimu ardhi ya Obama kila siku ambapo inakadiriwa watu mbalimbali na hata wasio maarufu pia hupoteza maisha kutokana na uhuru ambao uliruhusu umiliki wa silaha kutokua mgumu nchini humo.

Kwa hapa Tanzania yalifululiza matukio ya mauaji kwenye foleni Sinza na Kinondoni miezi zaidi ya miwili iliyopita lakini siku tatu zilizopita taarifa kuhusu risasi kupigwa zilipatikana baada ya raia mmoja Mtanzania kupiga risasi matairi ya gari iliyomgonga na kutishia kumuua aliekua anaendesha.
June 19 2013 mtandao wa GG Marekani umeripoti kwamba msanii Lil Snupe ambae alikua chini ya rapper Meek Mill wa Maybach Music ya Rick Ross, amekutwa ameuwawa kwa kupigwa risasi.
.
.
.
.
Meneja wake ndio alithibitisha kifo cha rapper huyu aliefariki dunia akiwa na umri wa miaka 18 ambapo inadaiwa aliemuua ni rafiki yake ambae wamekua wakifanya mambo mengi pamoja.
Rapper Lil Snupe apigwa risasi na kufariki June 20 2013 3 Rapper Lil Snupe apigwa risasi na kufariki June 20 2013 4
Rapper Lil Snupe apigwa risasi na kufariki June 20 2013 5

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top