Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mwimbaji kutoka Tanzania House of Talent (THT) Barnabas Elias maarufu kama Barnaba amefiwa na mama yake mzazi alfajiri ya leo jijini Dar es salaam.
Barnaba-Tanzania-THT
Taarifa zilizothibitishwa na rafiki wa karibu na msanii mwenzake Amini , zinasema mama yake Barnaba amefariki nyumbani kwake alfajiri ya leo Jumamosi (June 22) kutokana na presha.

Tunawaombea ndugu, jamaa na marafiki wa karibu na familia ya Barnaba ambao wako katika kipindi hiki kigumu na Mungu alizae mahala pema roho ya marehemu, Amen.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top