Mtoto wa Rais wa Tanzania Miraji
Kikwete ametoa fulana kwa kamati inayoandaa msiba wa Albert Mangwea aliyeaga
dunia akiwa Afrika ya Kusini Mei 28, mwaka huu.Miraji amekabithi tshirt kwa kamati hiyo inayoongozwa na PFunk kwenye viwanja vya Leaders Club Jan
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment