Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
BREAKING NEWS:  Mbowe, Lema wajisalimisha polisi.

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema wamejisalimisha katika kituo Kikuu cha Polisi Mkoani Arusha kwa ajili ya kuhojiwa.
Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha Chadema Freeman Mbowe na mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema wamejisalimisha wenyewe leo asubuhi  katika kituo Kikuu cha Polisi Mkoani Arusha kwa ajili ya kuhojiwa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top