
Lady Jaydee amemshambulia vibaya MwanaFA. Chanzo cha kuanza kumpa
makavu Live ni pale MwanaFA alipo-Retweet post ya shabiki yake mmoja
ambaye aliikejeli Show ya Jide kuwa ni Fundraising, ambapo MwanaFA
aliongezea neno ‘Daaaamnnn’ kwenye Post hiyo.
Mambo yalizidi kuwa
mabaya baada ya MwanaFA ku-Retweet post ya shabiki wake mwingine
aliyedai kwamba Lady Jaydee anawalipa watu buku buku ili wamponde
MwanaFA.
Hapo ndipo mwanadada Lady Jaydee uzalendo ukamshinda baada ya kutoa warning iliyopuuziwa, akaanza kumchana MwanaFA bila woga lakini MwanaFA hakuweza kujibu kitu zaidi ya ku-Retweet posts za mashabiki wake wanaomponda Lady Jaydee na team yake.
ILI kuepuka kusumbuliwa na mahakama , Jide alitumia ‘MwanaFAtuma’ akimlenga MwanaFA.
soma twitte chini hapo
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment